Uwanja mkubwa kuliko vyote hapa nchini ni Uwanja wa Taifa ambao una uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000.
Uwanja huu unamilikiwa na Serikali ya Tanzania ulijengwa kwa ushirikiano na serikali ya China mwaka 2007.
Ni moja kati ya viwanja bora barani Afrika ukiwa sawa na uwanja wa Kasarani wa Mathare Kenya ambao nao una uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000.
Tangu uzinguliwe mwaka uwanja huu umechezwa na timu maarufu kama vile timu ya taifa ya Brazil, Cameroun, Ivory Coast na nchi za Afrika Mashariki na Kati.
Uwanja wa Jamhuri Morogoro
Uwanja wa Jamhuri Morogoro uko mkoa wa Morogoro unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1978, una uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000.
Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine
Uwanja wa Sokoine upo katikati ya jiji la Mbeya mwaka 1977, una uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000 na unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Wakati uwanja huu unazinduliwa rasmi mwaka 1977 ulipewa jina la uwanja wa Mapinduzi kutokana na mwaka huo kuwa ndiyo CCM ilizaliwa rasmi baada ya kuvunjwa kwa Chama cha Tanganyika African National Union (TANU).
Jina la uwanja wa Mapinduzi lilibadilishwa na kuitwa na luitwa kumbukumbu ya Sokoine kwa heshima ya Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine aliyefariki kwa ajili ya gari mkoani Morogoro akitokea Bungeni Dodoma.
Uwanja wa Jamhuri Dodoma
Uwanja wa Jamhuri upo katikati ya jiji la Dodoma unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1978 una uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000.
Uwanja wa Majimaji
Uwanja wa Majimaji upo katikati ya mji wa Songea mkoa wa Ruvuma unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 30,000, unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi, ulijengwa mwaka 1979.
Uwanja wa Mwanakalenge
Uwanja wa Mwanakalenge upo katika makao makuu ya Mkoa wa Pwani, Kibaha.
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1979 na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha una uwezo wa kuchukua watazamaji 5,000.
Uwanja wa Kirumba
Uwanja wa Kirumba upo jijini Mwanza unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1980, una uwezo wa kuchukua watazamaji 45,000.
Kirumba ni uwanja wa pili kwa ukubwa Tanzania Bara.
Uwanja wa Lake Tanganyika
Uwanja wa Lake Tanganyika upo Kigoma mjini unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1980 una uwezo wa kuchukua watazamaji 15,000.
Uwanja wa Kambarage
Uwanja wa Kambarage upo Shinyanga mjini unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1983, una uwezo wa kuchukua watazamaji 30,000.
Zamani uwanja huu ulijulikana kwa jina la uwanja wa Mwadui ulijengwa na kampuni ya Williamson Diamond iliyokuwa ikichimbaolmasi.
Uwanja wa Namfua
Uwanja wa Namfua upo katikati ya mji wa Singida unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Uwanja huu uliejngwa mwaka 1982 una uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000.
Uwanja wa Nyamagana
Uwanja wa Nyamagana ni moja kati ya viwanja vikongwe hapa nchini ulijengwa mwaka 1945.
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1945 unamilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza na una uwezo wa kuchukua watazamaji 15,000.
Uwanja wa Ilulu
Uwanja wa Ilulu upo katika mkoa wa Lindi unamilikiwa na Halmashauri ya Mkoa wa Lindi.
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1957, una uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000.
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid upo katikati ya jiji la Arusha ambalo ni kitovu cha utalii hapa nchini.
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1957, unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM). Una uwezo wa kuingiza watazamaji 25,000.
Uwanja wa Karume
Uwanja wa Karume upo katika jiji la Dar es Salaam unamilikiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1940, ndio uwanja mkongwe nchini kuliko viwanja vyote. Una uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000.
Uwanja wa Uhuru
Uwanja wa Uhuru upo katika jiji la Dar es Salaam unamilikiwa na serikali.
Uwanja huu ulijengwa mwaka 1961 kwa madhumuni ya sherehe za uhuru wa Tanganyika.
Wakati unajengwa ulikuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000 na ulipofanyiwa ukarabati wa kwanza uliongeza idadi ya watu na kufikia 15,000.
Kwa sasa uwanja huu unachukua watazamaji 30,000 na bado upo katika ukarabati.
Uwanja wa Kaunda
Uwanja wa Kaunda katika kitongoji cha Kariakoo eneo la Jangwani yalipo Makao Makuu ya klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga).
Uwanja huu unamilikiwa na klabu hiyo ambayo ni ya kwanza nchini kujenga uwanja wake mwaka 1968, una uwezo wa kuchukua watazamaji 15,000.
Uwanja wa Memorial
Uwanja wa Memorial ni moja kati ya viwanja viwili vilivyoko katika mkoa wa Kilimanjaro umejengwa katikati ya mji huo na unamilikiwa na Halmashauri ya mji wa Moshi.
Uwanja huo ulijengwa mwaka 1957 una uwezo wa kuchukua watazamaji 15,000. Kwa miaka mingi uwanja huu hautumiki kwa shughuli yoyote.
Uwanja wa Mkwakwani
Uwanja wa Mkwakwani upo Mkoa wa Tanga unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), ulijengwa mwaka 1972 na unachukua watazamaji 15,000.
Uwanja wa Samora
Uwanja wa Samora ulijengwa mwaka 1975, unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), uwanja huu unachukua watazamaji wapatao 25,000.
Uwanja wa Kaitaba
Uwanja wa Kaitaba upo katika mkoa wa Kagera kando ya Ziwa Victoria ni mali ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Ulijengwa mwaka 1976 unachukua watazamaji25,000
Uwanja wa Azam
Uwanja wa Azam unamilikiwa na klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam upo katika maeneo ya Chamazi nje kidogo ya jiji. Uwanja huu ulijengwa mwaka 2010 unachukua watazamaji 5,000, kwa sasa bado upo katika matengenezo.
Uwanja wa Nangwanda Sijaona
Uwanja wa Nangwanda Sijaona upo katika mkoa wa Mtwara ulijengwa mwaka 1992 na Halmashari ya mji wa Mtwara, unachukua watazamaji 10,000.
Uwanja wa Mgambo
Uwanja wa Mgambo upo katika wilaya ya Mpwapwani mkoa wa Dodoma mwaka 1972, ukiwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000.
Uwanja wa Mandela
Uwanja wa Mandela upo katika mkoa wa Rukwa unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), unachukua watazamaji 15,000.
Uwanja wa Karume
Uwanja wa Karume upo katika mkoa wa Morogoro ulijengwa mwaka 1986 na Chama cha Mapinduzi (CCM), unachukua watazamaji 15,000.
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulijengwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 1988 unachukua watazamaji 30,000.
Uwanja wa Ushirika
Uwanja wa Ushirika upo mjini Moshi ulijengwa mwaka 1989 na Jumuiya ya Washirika (MUCCOS) una uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000.
Uwanja wa Manungu
Uwanja wa Manungu upo Turiani Mkoa wa Morogoro ulijengwa mwaka 1999 na kampuni ya Mtibwa Sugar, unachukua watazamaji 10,000.
Uwanja wa Kahama Shinyanga 2002 Halmashauri 15,000
Uwanja wa Kahama upo katika wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga ulijengwa mwaka 2002 unamilikiwa na Halmashauri ya mji wa Kahama, unachukua watazamaji 15,000.