Tanzania ilipata nafasi ya kucheza fainali za Vijana Afrika nchini Mali mwaka 2005, lakini kwa bahati mbaya, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) liliinyang'anya Tanzania nafasi hiyo baada ya kubainika kuwa ilimchezesha ilipoteza Nurdin Bakari ambaye alibaini kudanyanga umri.
Nafasi ya Tanzania ilipewa Zimbabwe.