TUNAKARIBISHA MATANGAZO KATIKA SEHEMU HII,
PIA TUTAKUWEZESHA KUWAFIKIA WATU WENGI KWA WAKATI MMOJA, TANGAZA NASI PIGA SIMU NO; 0715 139262 / 0787 139262.
Fainali za Mataifa Afrika
Tanzania imeshiriki fainali moja ya kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1980. Kwani mwaka 1992 ilitolewa hatua za awali, 1998 ilijitoa, 2004 ilijitoa 2006, 2008, 2010 ilitolewa hatua za awali.