TEMBELEA KILA WIKI, SOMA HABARI MPYA. USIKOSE MENGI MENGINEYO WIKI IJAYO. TUPO MAHIRI KUKUHABARISHA PATA VITU VIPYA HAPA. PATA BURUDANI ,HADITHI NA MATUKIO YA MICHEZO KILA JUMA.

1990- Pamba yaipokonya ubingwa Malindi

Pamba ya Mwanza ilifanikiwa kuchukua ubingwa wa Tanzania mwaka 1990 uliokuwa ukishikiliwa na Malindi ya Zanzibar.

Pamba ilikuwa na kikosi imara kilichokuwa na wachezaji mahiri na kilitamba na kupachikwa jina la TP lindanda kutokana na kucheza kandanda safi.