TEMBELEA KILA WIKI, SOMA HABARI MPYA. USIKOSE MENGI MENGINEYO WIKI IJAYO. TUPO MAHIRI KUKUHABARISHA PATA VITU VIPYA HAPA. PATA BURUDANI ,HADITHI NA MATUKIO YA MICHEZO KILA JUMA.

1989 Malindi yabeba taji la ubingwa Tanzania

Timu ya Malindi ya Zanzibar enzi la ufadhili wa Nuoshard Mohamed miaka ya 80 na 90 ilikuwa moja ya timu kali iliyokuwa imesheheni wachezaji nyota wa kimataifa wa ndani na nje ya nchi.

Baada ya nyota hao ni Murdon Malitoli toka Zambia na Edibily Lunyamila ambao walifanikisha timu hiyo kutamba na mwaka 1989 ilichukua ubingwa wa Tanzania.