TEMBELEA KILA WIKI, SOMA HABARI MPYA. USIKOSE MENGI MENGINEYO WIKI IJAYO. TUPO MAHIRI KUKUHABARISHA PATA VITU VIPYA HAPA. PATA BURUDANI ,HADITHI NA MATUKIO YA MICHEZO KILA JUMA.

1998- Majimaji bingwa Tanzania

Majimaji ya Songea mkoa wa Ruvuma ilifanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi ya Muungano mwaka 1998.

1999- Prisons yachukua ubingwa mara ya kwanza

Timu ya Tanzania Prisons ni moja kati ya timu kongwe hapa nchini ilianza kuingia katika ligi ya Dar es Salaam tokea miaka ya sitini.

Prisons inamilikiwa na Jeshi la Magereza pamoja na ukongwe wake imefanikiwa mara moja kuchukua ubingwa wa Tanzania ikiwa na mastani yake Mbeya badala ya Dar es Salaam.