Mwaka huu timu ya Yanga haikufanya vizuri katika klabu bingwa Tanzania kutokana na mgogoro uliosababisha kuzaliwa Pan Africans na mechi ya fainali ya ubingwa wa Tanzania ilicheza Simba na Pamba ya Mwanza.
Pamba ya Mwanza ikimilikiwa na Bodi ya Mamlaka ya Pamba ilikuwa ni moja ya timu kali hapa nchini ilicheza mechi ya fainali na Simba na
kufungwa magoli 2-1 wafungaji Jumanne Masimenti na Willy Mwaijibe.