TEMBELEA KILA WIKI, SOMA HABARI MPYA. USIKOSE MENGI MENGINEYO WIKI IJAYO. TUPO MAHIRI KUKUHABARISHA PATA VITU VIPYA HAPA. PATA BURUDANI ,HADITHI NA MATUKIO YA MICHEZO KILA JUMA.

1984- Timu ya Zanzibar yakuchukua ubingwa mara ya kwanza

Timu ya Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo, KMKM ya Zanzibar ambayo ilikuwa ikiitwa Navy  ilichukua ubingwa wa Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka 1984 na hivyo kuwa klabu ya kwanza ya Zanzibar kupata ubingwa huo.