Mwanamuziki maarufu wa miondoko ya succuss wa Kondo-RDC, Fred Mayaula Mayoni, aliwahi kuichezea Yanga 1970 wakati akiishi hapa nchini na baba yake alikuwa Balozi wa DRC.
Katika mechi ya fainali ya klabu bingwa kati ya Simba na Yanga 1971, Mayaula alifunga magoli 2-1 dhidi ya Simba. Goli la Simba lilifungwa na Omary Gumbo.
Yanga walimtumia Mbwana Abushiri kama kocha mchezaji.